WEEKEND BREAKFAST

WEEKEND BREAKFAST is a news and current affairs show that reviews the week every Saturday and Sunday morning.It consists of reviews of big stories of the week, interviews a look at hot business, health with great mix of music and humour.
WEEKEND BREAKFAST ni kipindi kinachopitia habari zote kubwa za wiki na kupitia habari za mwisho wa juma huku ukipata nafasi ya kutoa maoni yako. Pia kuna mahojiano na watu mbalimbali kutoka njanja tofauti za maisha pamoja na dondoo za biashara na afya, ucheshi na burudani nzuri ya muziki.
06:00 AM 10:00 AM
Grayson Gideon & Maryam Kitosi