TAM TAM ZA MWAMBAO

A show case of taarab music (traditional and modern) blended with swahili culture. Get the latest gossip and information on taarab bands, singers and coastal life in general.
TAM TAM ZA MWAMBAO ni kipindi kinachokuletea burudani nzima ya muziki wa Taarab wa zamani na wa kisasa pamoja na habari zote zinazihusu wanamuziki wa Taarab au bendi zao. Kipindi pia kinaangalizia baadhi ya tamaduni na maisha ya watu wa maeneo ya Pwani.
10:00 AM 01:00 PM
Mwanne Bint Othman