SUPAMIX

Your informative, smart, and intelligent radio show. The first and only radio show in the region that gives the 'mwananchi' a platform to discuss and share their views on current affairs and the related social issues that affect them.
Kipindi pekee Afrika Mashariki kilichopewa jina la 'sahani ya jamii' na wasikilizaji kwa umahiri wake katika kuchambua maswala mbalimbali ya kijamii Afrika Mashariki na kutoa elimu juu ya maswala mbalimbali. Tunawapa wananchi wa kawaida nafasi ya kutoa kero zao na kuelimishana. Pata pia elimu juu ya sheria na biashara.Badilisha uwelewa wa maisha yako na maswala ya kijamii na Supamix.
09:00 AM 01:00 PM
Maryam Kitosi