SHUJAAZ HUSTLA

SHUJAAZ is a weekly radio show aiming at empowering youth, showcasing various opportunities that surround them and tell the story of other youth who have made it through hustling. The show is hosted by your very own DJ Tee (19), whose story is found on monthly comic magazine dubbed SHUJAAZ. With all inspiring stories, SHUJAAZ also gives you a whole world of entertainment, sex and ways to make money. Join DJ Tee every SATURDAY at 3pm via East Africa Radio.
SHUJAAZ ni show ya kila wiki yenye lengo la kuwaonesha vijana FURSA mbalimbali zilizopo, ambazo zinaweza kuwasaidia katika kufikia malengo yao kupitia simulizi za vijana wengine mbali mbali wanaojituma ili watoboe kimaisha. SHUJAAZ inaongozwa na kijana DJ Tee (19), ambaye simulizi yake inapatikana kwenye kijarida cha kila mwezi cha SHUJAAZ. Pamoja na simulizi za vijana zinazohamasisha, SHUJAAZ pia inakupa ulimwengu wote wa BURUDANI, MAPENZI na UTAFUTAJI PESA. Ungana na DJ Tee kila JUMAMOSI saa TISA kamili alasiri kupitia East Africa Radio.
03:00 PM 04:00 PM
Dj Tee