SHAABAN LUPPA

Anaitwa Shaaban Luppa, mzaliwa wa Tanga ambaye kwa sasa munaweza kunisikia kila siku kupitia kipindi cha East Africa Breakfast kuanzia saa 11 asubuhi hadi saa 3 kamili asubuhi.

Amekuwa akifanya kazi za utangazaji katika radio mbalimbali humu nchini kwa miaka 8 na pia ni mchambuzi mzuri wa Siasa za Kitaifa na Kimataifa.

Ni mpenzi mkubwa wa michezo hasa mpira wa kikapu, tennis na mpira wa miguu nikiwa na ndoto kubwa ya kumiliki na kuendesha kituo cha kukuza vipaji kwa vijana.  Mchapakazi, mcheshi, mpenda marafiki na familia.