QUEEN FIFI

Naitwa Frida Amani Aka Queen Fifi Aka human of my own kind (TOLEO LA KIPEKEE). Nasikika kwenye 'The Cruise' Jumatatu – Alhamisi kuanzia saa 3:00 mpaka saa 6 Usiku.
Nimekuwa nikiwa na ndoto za kuwa maarufu ‘natural born a star’ na tokea mtoto nilijua naweza kutangaza nikiwa na miaka kumi na mbili baada ya kuwa MC kwenye sherehe za Kipaimara.
Ni msanii pia wa hip hop na ndipo nilipoanzia kujulikana kama msanii baada ya kutokea kwenye shindano la mziki kama mwanahiphop. People call me crazy honestly yeah, I am never too serious.
Napenda mziki,kula na kuongea…ila kitu watu wengi hawajui napenda sana siasa hahahha.