PLANET BONGO

Programming with a focus on upbeat Tanzanian bongo flava and local entertainment as a whole. The only show across East Africa that brings you all the latest bongo flava hits with a all big entertainment stories of the day across Tanzania.
Kipindi pekee Afrika mashariki kinachokuletea burudani ya muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania maarufu kama 'bongo flava' pamoja na habari zote kubwa kuhusu muziki huo ,wanamuziki wake na burudani ndani ya Tanzania kwa ujumla.
01:00 PM 04:00 PM
Dullah & Lesa