MAMAMIA

MAMAMIA, the modern woman show that targets the 'Boss Lady hustler', the 'Homemaker', the 'Mother' and the 'Socialite'. MAMAMIA offers insightful discussion around business events and activities, pregnancy, childbirth and baby rearing issues, beauty, body care, dating, weddings, marriage and family issues as well. It's a WOMAN'S WORLD.
MAMAMIA inamgusa mwanamke moja kwa moja. Inamlenga mwanamke wa kisasa, mpambanaji, mwenye pilika zake! Lengo ni kujuzana na kuelemishana kupitia vipengele vinavyogusia harakati za biashara, malezi, urembo, mahusiano na mada zinazogusa mwanamke.
10:00 AM 12:00 PM
Maryam Kitosi