KING SMASH

Aka King Smash ni mtangazaji na muandaaji wa kipindi cha ‘The Cruise’ kila Jumatatu – Ijumaa, Saa 3 mpaka 6:00 Usiku. Napenda mziki, mpira wa miguu na mpira wa kikapu na kuangalia filamu.

Nilianza kufikiria kuwa mtangajazi nikiwa shule ya msingi kwa kuvutiwa na baadhi ya watangazaji wa vipindi vya burudani. Basi, nikaamua kijifunza na kupambana mpaka kufika hapa leo. 

Ni kijana wa kisasa anaetegemea makubwa zaidi katika maisha yake ya utangazaji kwa kuendelea kubuni na kujifunza mambo tofauti tofauti.