KIBERENGE

Crispin Malangu Hauli pia najulikana kama mshabuliaji mwenye kasi ya kidigitali ama mkimbizaji Kiberenge. 
Ni mcheshi na napenda watu wa jinsi zote na ni mpenzi mkubwa wa michezo yote, mwenye taaluma ya Uandishi wa Habari kwa ujumla. 
Ni mtayarishaji (producer) wa michezo EATV na vilevile ni mtangazaji wa East Africa Radio kipindi cha michezo cha ‘KIPENGA’ kinachoruka kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 2 usiku hadi saa 3 usiku. 
Mbali ya kipaji changu cha utangazaji pia mchezaji wa michezo mbalimbali na ni rapa na mwimbaji wa muziki wa bongo flava.