JOHN LUPOKELA

John Lawrence Lupokela a.k.a FUNDI, Huyu ni mtaalam wa Current issues, utalii, simulizi, Ucheshi na facts za matukio ya Kitaifa, pia ni mtaalam wa kuibua kero za Jamii.

Lupokela anashikilia tuzo ya uzungumzaji Bora wa Lugha ya Kiswahili Kwa ufasaha, huku akiwa na mafunzo ya Uongozi kutoka BBC.