IBRAHIM KASUGA

Ibrahim Kasuga ni mtangazaji na muaandaaji wa vipindi vya michezo East Africa Radio, Kipenga na Kipenga Xtra vinavyoruka siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa, na Saturday sports kinachoruka kila Jumamosi. Anapenda michezo kwa ujumla, na mpira wa miguu ndio uliomvutia kuwa mtangazaji hasa ile shauku yakutaka kuwajuza watu habari za kimichezo.Muziki pia ni sehemu kubwa ya maisha yake pamoja na filamu. Kijana wa kisasa, mzalendo na mwenye ndoto zakufanya vitu vikubwa kwenye tasinia ya habari.