IAN DIALO

Ian Dialo a.k.a Baba watoto or baba yao ni Mtangazaji wa vipindi vya East Africa Breakfast na Strictly Kenyan.
Amekuwa kwenye tasnia hii kwa zaidi ya miaka 10. Nje ya kazi ya utangazaji Ian ni mtaalam wa kutengeneza na kuonja kahawa (Barista).
Ni mjasiriamali na ana kipaji cha kusanifu sauti(voice artist).
Ian ni mtu wa kujituma mwenye hofu ya Mungu na ana amini katika ubunifu. Anaamini kuwa mtu hutakiwa kuwa na mtazamo tofauti katika maisha.
Mfano yeye hupenda kusema "ukiangalia movie ya Titanic kinyume nyume utaona kuwa ni Meli kubwa ikiokoa watu!...
Umeona Eeh!?"
Ian ni mpenzi mkubwa wa michezo kama Rugby, Basketball na Mpira wa miguu..anajulikana kama shabiki mkubwa wa timu ya Manchester United(Timu ya baba, timu ya mama)! Kukaa na familia yake ndio hobyy yake kubwa!