DJ NICKY

Dj Nicky amekua DJ East Africa Radio tangu mwaka 2006. mapenzi yake ya muziki yamemfanya awe na kiu ya kujifunza kuwa DJ, after he realised his short supply of vocal talent and sheer lack of convincing dance moves would block the road to pop superstardom. Safari yake ya muziki imepitia kwenye show kubwa za radio, matamasha na mashindano mbalimbali ya U-DJ ambayo yalimfanya awe maarufu zaidi. DJ Nicky anapenda sana teknolojia ya kisasa kwa kufuatilia karibu kila aina ya teknolojia mpya iliyotoka na akiwa kama mmoja wa DJ anayependelea zaidi muziki wa Caribbean, reggae na Dancehall na kwa sasa utamsikiliza kwenye Saturday Hotmix kila Jumamosi akigonga Dance-Hall na nyimbo zenye mahadhi ya Soca.