THE CRUISE

A Cheerful program for youthful listeners filled with all the latest entertainment stories of the day across Africa and the world exposing the local entertainment industry with the regional, continental and international entertainment industry.
Kipindi pekee kinacholenga vijana kikiwa kimesheheni habari na burudani kutoka Africa na duniani kote kikitoa nafasi kwa wasanii wa ndani na wadau wote wa sanaa na burudani Kujifunza na kuhabarika juu ya maswala mbali mbali ya burudani Africa na dunia nzima.
09:00 PM 00:00 AM
King Smash & Queen Fifi