ABDU-LA-HZIZ MRISHO MGAWE

Abdu-la-hziz Mrisho Mgawe ,pia nafahamika kama Wamba.Ni mcheshi, napenda watu wote na ni mpenzi wa michezo yote mwenye taaluma ya habari pamoja na Uchumi.Ni mchambuzi wa michezo pamoja na na maswala ya kiuchumi. Unaweza kunisikia Jumatau mpaka Ijumaa katika kipindi cha Kipenga Xtra kinachoruka hapa east africa radio kuanzia saa 6 mchana mpaka 7 mchanana pia katika kipindi cha Kipenga kinacho kwenda hewani saa 2 usiku mpaka saa 3 usiku. Mbali na kipaji changu cha utangazaji pia ni mhamasishaji jamii haswa vijana kwenye maswala ya kiuchumi na michezo .Pia nimewahi kuwa kiongozi na msemaji katika timu mbali mbali kama JKT Msange ya tabora, Tabora football club.Pia nimewahi kuwa mbunge wa bunge la vijana Tanzania.