• 88.1
  Dar es salaam
 • 89.8
  Bukoba
 • 90.9
  Iringa
 • 92.2
  Mwanza
 • 93.4
  Moshi
 • 94.7
  Nairobi
 • 93.6
  Arusha
 • 96.8
  Musoma
 • 97.8
  Tanga
 • 98.6
  Mtwara
 • 99.0
  Kampala
 • 99.6
  Dodoma
 • 100.0
  Mbeya
 • 101.4
  Singida
 • 102.8
  Morogoro
 • 105.2
  Tabora

MONDAY - FRIDAY

06:00 AM 09:00 AM
IAN DIALO, IRENE TILLYA & ISAAC LUKANDO
East Africa Breakfast is your daily news and current affairs show. It consists of hot topics, interviews with the newsmakers and sports. In...
East Africa Breakfast is your daily news and current affairs show. It consists of hot topics, interviews with the newsmakers and sports. In addition it features health check up where matters concerning health are explored, and law school in which you learn about legal matters. All this is spiced with music and humor. Set your alarms! EMAIL: eabreakfast@eastafricaradio.com
Ni kipindi kinachokuletea taarifa na uchambuzi wa mambo na kukupa dondoo mbalimbali juu ya sheria, afya huku tukikupa nafasi ya kutoa mawazo yako. Pia utasikia mahojiano ya moja kwa moja na watu wa nyanja mbalimbali wakijibu hoja mbali mbali. Haya yote huambatana na burudani nzuri ya muziki. Usijutie tena unavyoanza siku yako kwa kusikiliza EA Breakfast. BARUA PEPE: eabreakfast@eastafricaradio.com
09:00 AM 01:00 PM
ZEMBWELA & MWANAIDI SULEIMAN
Your informative, smart, and intelligent radio show. The first and only radio show in the region that gives the 'mwananchi' a platform to discuss...
Your informative, smart, and intelligent radio show. The first and only radio show in the region that gives the 'mwananchi' a platform to discuss and share their views on current affairs and the related topical issues that affect them. EMAIL: supamix@eastafricaradio.com
Kipindi pekee Afrika Mashariki kilichopewa jina la 'sahani ya jamii' na wasikilizaji kwa umahiri wake katika kuchambua maswala mbalimbali ya kijamii Afrika Mashariki na kutoa elimu juu ya maswala mbalimbali. Tunawapa wananchi wa kawaida nafasi ya kutoa kero zao na kuelimishana. Pata pia elimu juu ya sheria na afya. BARUA PEPE: supamix@eastafricaradio.com
01:00 PM 04:00 PM
SAM MISAGO, ANNA PETER & MAMI
Fast paced high energy programming with upbeat urban music mixed by East Africa Radio's finest Djs. It features a mixture interviews with artists...
Fast paced high energy programming with upbeat urban music mixed by East Africa Radio's finest Djs. It features a mixture interviews with artists and the architects who shape the East African music industry. There are also hot topics for debate, album reviews, entertainment news and much more. EMAIL: powerjam@eastafricaradio.com
Kipindi kilichojaa habari za wanamuziki na muziki wao pamoja na dodondoo mbali mbali. Kipindi pia ni jukwaa kwa wanamuziki wakubwa na wanaoibukia kunadi vipaji vyao. BARUA PEPE: powerjam@eastafricaradio.com
04:00 PM 07:00 PM
BASIL MBAKILE
East Africa Drive is a current affairs show that keeps you abreast of current affairs, sports, entertainment news and interviews with the headline...
East Africa Drive is a current affairs show that keeps you abreast of current affairs, sports, entertainment news and interviews with the headline makers. Dont miss your full dose of information and humor with soothing music that cuts across decades. EMAIL: eadrive@eastafricaradio.com
East Africa Drive ni kipindi kinachokuletea habari zote kubwa za siku kuanzia siasa,biashara,michezo na burudani pamoja na burudani ya muziki. BARUA PEPE: eadrive@eastafricaradio.com
07:00 PM 10:00 PM
KENEDY "THE REMEDY" and GEORGE BANTU
Upbeat programming for the youthful listener, providing you with a mosaic of Urban Hits and a dose of the big stories of the day. It also features...
Upbeat programming for the youthful listener, providing you with a mosaic of Urban Hits and a dose of the big stories of the day. It also features Kenedy 'The Remedy' who brings you all the latest local and regional entertainment stories and updates on local, regional and international sports. EMAIL: thecruise@eastafricaradio.com
Pata uchambuzi wa habari kubwa za nyumbani, Afrika mashariki na duniani ukienda sambamba na burudani nzuri ya muziki. Pia pata habari zote za michezo huku michapo yote ya burudani ikiletwa kwenu na Kenedy 'The Remedy'. BARUA PEPE: thecruise@eastafricaradio.com
10:00 PM 1:00 AM
MARY "The Night Nurse"
Melting pot of slow jams, mixed with love and relationships. Get advised, get connected and leave your loneliness behind by tuning in and letting...
Melting pot of slow jams, mixed with love and relationships. Get advised, get connected and leave your loneliness behind by tuning in and letting love take you away. We play all the best and smoothest slow jams to help you unwind and end your day the perfect way. EMAIL: latenight@eastafricaradio.com
Malizia siku yako kwa burudani nzuri ya muziki wa taratibu na habari zote za jinsi ya kuboresha mahusiano na mapenzi. Maisha ya upweke yanaisha hapa na kuweka tabasamu jipya kwenye sura na moyo wako. Pia utapata nafasi ya kuunganishwa na aina ya mtu umpendaye na kupata mawazo ya kitaalam juu matatizo yako ya kimapenzi. BARUA PEPE: latenight@eastafricaradio.com
10:00 PM 00:00 AM
SAM MISAGO
Get personal with celebrities only on Friday Night Live, where radio and TV link up to bring you all the headlining stories in the entertianment...
Get personal with celebrities only on Friday Night Live, where radio and TV link up to bring you all the headlining stories in the entertianment world. East Africa Radio personalities get personal with celebrities and unveil stories that you've never heard before. Our finest DJs will mesmerize you with hyped and crazy mixing. This is where the party begins.
Sehemu pekee redio na televisheni zinapokutana kukupa dozi maalum ya kukuandaa kwa ajili ya mwisho wa wiki. Party zote zinaanzia hapa halafu tunazipeleka kwingine.
06:00 AM 10:00 AM
SHAMIM MGAYA
Your news and current affairs show that takes a look at the week that was every Saturday and Sunday morning. It consists of reviews of the big...
Your news and current affairs show that takes a look at the week that was every Saturday and Sunday morning. It consists of reviews of the big stories of the week, interviews, a look at business and health all of which are spiced with a great mix of music and humour.
Umekosa chochote wiki nzima? Jiunge na timu ya Weekend Breakfast kila Jumamosi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 4 asubuhi na Jumapili kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa nne ambapo mwisho wako wa juma hautakuwa wa kusahaulika tena.
10:00 AM 12:00 PM
DULLAH and DJ AD "MAFUVU"
Programming with a focus on upbeat Tanzanian bongo flava. The only show across East Africa that brings you all the latest bongo flava hits with a...
Programming with a focus on upbeat Tanzanian bongo flava. The only show across East Africa that brings you all the latest bongo flava hits with a review of all big stories of the week across Tanzania. EMAIL: planetbongo@eastafricaradio.com
Kipindi pekee Afrika mashariki kinachokuletea burudani ya muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania maarufu kama 'bongo flava' pamoja na habari zote kubwa kuhusu muziki huo na wanamuziki wake. BARUA PEPE: planetbongo@eastafricaradio.com
12:00 PM 02:00 PM
IAN DIALO and DJ KIM
STRICTLY KENYAN is a weekly show that focuses on Kenyan lifestyle, news, current affairs issues , interviews, entertainment and culture. All this...
STRICTLY KENYAN is a weekly show that focuses on Kenyan lifestyle, news, current affairs issues , interviews, entertainment and culture. All this with great mix of Kenyan music. EMAIL: kenya@eastafricaradio.com
STRICTLY KENYAN ni kipindi pekee Afrika Mashariki kinachokuletea burudani ya muziki na habari kutoka Kenya pekee. Usikose kipindi hiki kilichojaa ucheshi na maswala mbali mbali ya maisha ya kila siku nchini Kenya. BARUA PEPE: kenya@eastafricaradio.com
02:00 PM 04:00 PM
UGANDA CENTRAL is a weekly show that focuses on Ugandan lifestyle, news, current affairs issues , interviews, entertainment and culture. All this...
UGANDA CENTRAL is a weekly show that focuses on Ugandan lifestyle, news, current affairs issues , interviews, entertainment and culture. All this with great mix of Ugandan music. EMAIL: uganda@eastafricaradio.com
UGANDA CENTRAL ni kipindi pekee Afrika Mashariki kinachokuletea burudani ya muziki na habari kutoka Uganda pekee pamoja na maswala maswala mbali mbali ya maisha ya kila siku nchini Uganda. BARUA PEPE: uganda@eastafricaradio.com
04:00 PM 06:00 PM
LLOYD ELIPOKEA and ISAAC LUKANDO
Your weekly sport show that analyses sport news and affairs in the region and abroad and takes a look at athletes, their achievements and...
Your weekly sport show that analyses sport news and affairs in the region and abroad and takes a look at athletes, their achievements and challenges. Saturday Sports also reveals hidden talents, shares know how of sports and talks sport politics when necessary. EMAIL: sports@eastafricaradio.com
SATURDAY SPORTS ni kipindi cha michezo kinachochambua michezo mbalimbali ya ndani, Afrika Mashariki na duniani kote na kungalizia maendeleo na ugumu wa wanamichezo mbalimbali. BARUA PEPE: sports@eastafricaradio.com
06:00 PM 09:00 PM
GEORGE BANTU
Interactive show in which listeners are given the freedom to control the playlist. Also we round up the biggest stories of the week. Tune in and...
Interactive show in which listeners are given the freedom to control the playlist. Also we round up the biggest stories of the week. Tune in and be part of the family. EMAIL: request@eastafricaradio.com
Kipindi pekee kinachokupa fursa ya kuomba wimbo wowote unaoupenda na kupata taarifa mbalimbali muhimu za wiki. BARUA PEPE: request@eastafricaradio.com
09:00 PM 01:00 AM
KENEDY "The Remedy" & MAMI
East Africa is united with Urban Hits, interviews, chats and information packed together to set right your saturday party mood. The show features...
East Africa is united with Urban Hits, interviews, chats and information packed together to set right your saturday party mood. The show features various Djs showcasing their skills which will mesmerise your weekend.
Afrika mashariki inaunganishwa hapa huku burudani ya muziki, habari mbalimbali na mahojiano na wasanii mbali mbali zikichukua nafasi katika kipindi. Kipindi pia kinakupa nafasi ya kusikia vipaji vya Djs mbali mbali kufurahisha wisho wako wa wiki.
10:00 AM 12:00 PM
MWANNE
A show case of taarab music (traditional and modern) blended with swahili culture. Get the latest gossip and information on taarab bands, singers and...
A show case of taarab music (traditional and modern) blended with swahili culture. Get the latest gossip and information on taarab bands, singers and coastal life in general.
TAM TAM ZA MWAMBAO ni kipindi kinachokuletea burudani nzima ya muziki wa Taarab wa zamani na wa kisasa pamoja na habari zote zinazihusu wanamuziki wa Taarab au bendi zao. Kipindi pia kinaangalizia baadhi ya tamaduni na maisha ya watu wa maeneo ya Pwani.
12:00 PM 03:00 PM
BABA T
LOVERS ROCK is a show dedicated to reggae lovers. Enjoy all types of Reggae here from local, regional to international as we play roots, ragga to sweet...
LOVERS ROCK is a show dedicated to reggae lovers. Enjoy all types of Reggae here from local, regional to international as we play roots, ragga to sweet reggae and give you all the information on the music. EMAIL: loversrock@eastafricaradio.com
LOVERS ROCK ni kipindi kinachokuletea burudani ya muziki wa rege aina zote kutoka nyumbani, Tanzania, Afrika Mashariki na kimataifa. Pia tunakupa taarifa zote juu ya muziki na wanamuziki wa reggae duniani kote. BARUA PEPE: loversrock@eastafricaradio.com
03:00 PM 05:00 PM
THE CHART SHOW countdown of 20 of the hottest tracks from across the region and beyond, coupled with the latest entertainment news. Vote for your...
THE CHART SHOW countdown of 20 of the hottest tracks from across the region and beyond, coupled with the latest entertainment news. Vote for your favorite songs to appear in the EA Chart Show. EMAIL: eatop20@eastafricaradio.com
THE CHART SHOW ni sehemu pekee ya kuhesabu na kusikiliza nyimbo 20 bora za wiki kutoka Afrika mashariki na duniani kote. Unaweza kushiriki kwa kuupigia kura wimbo unaoupenda au kwa kuuchagua katika vipindi vyetu. BARUA PEPE: eatop20@eastafricaradio.com
05:00 PM 07:00 PM
DJ 45
SUNDAY SOUL here the clock is turned back to an era when music was music. Its time to escape back to the 80s and 90s so put your dancing shoes on and...
SUNDAY SOUL here the clock is turned back to an era when music was music. Its time to escape back to the 80s and 90s so put your dancing shoes on and lets boogie to the oldies, remembering the good old days.
SUNDAY SOUL ni kipindi kinachokurudisha nyuma na kukumbusha ngoma zote kali za zamani kuanzia miaka ya 80 mpaka 90 na mwanzoni mwa 2000.
07:00 PM 10:00 PM
DJ MACKAY & MWANAIDI SULEIMAN
AFRO SUNDAY is a show dedicated specifically to African music and all the information surrounding it. The show features interviews, gossip and reports on...
AFRO SUNDAY is a show dedicated specifically to African music and all the information surrounding it. The show features interviews, gossip and reports on dance music, artists and bands.
AFRO SUNDAY ni kipindi kinachokuletea burudani kamili ya muziki wa Afrika na habari kuhusiana na muziki huo na wanamuziki wake. Kipindi pia kinakuletea mahojiano ya moja kwa moja na wanamuziki wa mziki huo pamioja na bendi zao.
10:00 PM 01:00 AM
MARY "The Night Nurse"
Slow Music mixed with all that goes with love and relationships. For all romantics whose information on how to nurture their love life takes priority....
Slow Music mixed with all that goes with love and relationships. For all romantics whose information on how to nurture their love life takes priority. Slow and all best classics is our playlist. Dont miss!.
Malizia siku yako kwa burudani nzuri ya muziki wa taratibu na habari zote za jinsi ya kuboresha mahusiano na mapenzi. Maisha ya upweke yanaisha hapa kwa utulivu na kuweka tabasamu jipya kwenye sura na moyo.